Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
[emoji109]Kabisa
Mkuu QUIGLEY
[emoji109]Kabisa
Mkuu QUIGLEY
Ni kijembe kwa media. How they embellish stories. Fake news (in Trump's voice)Saved fish from drowning???? Ahsante nyoka
Naona mzee ndo anagundua kuwa yawezekana kijana wake si ridhiki!Hahahaha
Mkuu hivi ni LISTEN TO MUSIC au LISTEN TO THE MUSIC ipi sahihi? Nataka kujifunza tu BAK
HahahahaNaona mzee ndo anagundua kuwa yawezekana kijana wake si ridhiki!
Usijali kabisaMaana walikuwa wananisumbua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kichaa wangu kwa heri kamanda nadhani utaendelea kusambaza likes mi napotea hivi karibu jfNdio utamu Wa Uzi huu
Dunia hii ni vurugu bageshi. Hapa mzazi inabidi uwe na busara sana. Imagine una kavulana kamoja tu halafu ndo unabaini kuwa kumbe washenzi wanakapelekea moto. Sijui hata utafanyeje!Hahaha kama kamdada
Umeitwa kwenye dharura ama? Jichunge!Kichaa wangu kwa heri kamanda nadhani utaendelea kusambaza likes mi napotea hivi karibu jf
Tatizo nini? Kukosa zizi? Mzee mwenzangu,hebu kuwa serious, huko uendako hakuna vitendea kazi?Nadhani atarudi ila mimi nakuaga adui yangu nitapotea kwa mda mrefu sana kwa JF.
Mwisho wao umefikaTuwakomeshe kabisa hawa wapenda ***** *****[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Likes kwa likesWeka Likes za kufa ccm