Kama kawaida nipo mkuu maana leo ndio mwisho kuonekana JfSaa sita usiku hadi saa nane usiku
Tuwe pamoja na live updates
Manutd v. Barcelona
Ni kweli, Moudgulf kanipa siri nitazipata sasaHahahaha unavituko wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ghwa kukaja...
HahahahaNi kweli, Moudgulf kanipa siri nitazipata sasa
Hata akibanwa na shughuli yule lazima apite humu,labda iwe kabanwa na Mlango 😀😀Asipopita leo humu itakuwa ajabu, labda kabanwa na shughuli zake.