Nakichwa kimepinda pinda na ngeo za wahuni wenzangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakuu nimegundua
Kichwa kichafu akuwai
Kufanikiwa kufuga afro kutokana na kichwa chake
Mh kaka,haya safari njema huko uendako.Jana niliwamiss sana humu. Hata hivyo karibu nitasepa pia!
Najua atakuwa amekuelewaMimi simo kabisa kwenye siasa!
SIMO SIMO SIMO KABISA KABISA KABISA KWENYE SIASA
MIMI NI MFANYA BIASHARA PESA PESA PESA TU!
Ndugu yangu!
Simo kwenye siasa!
Usilie shemeji. Cole bila shaka anafurahia tu...[emoji22][emoji22][emoji22]
God iz Bae in da house jamani! Karibu![emoji41]
Kwa kweliNamshukuru Mungu imekuwa jioni nikiwa na afya njema. Tutakiane jioni yenye afya njema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukizubaa tu ushapigwa!Abiria chunga mzigo wako...mijibaba ya humu haiaminiki et[emoji2][emoji2]
Teh teh teh japo kichwa changu nikigumu kuelewa.Mimi simo kabisa kwenye siasa!
SIMO SIMO SIMO KABISA KABISA KABISA KWENYE SIASA
MIMI NI MFANYA BIASHARA PESA PESA PESA TU!
Ndugu yangu!
Simo kwenye siasa!