Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni kazi kweli kweli!Utandawazi unapowaacha wazi
Ni kazi kweli kweli!Utandawazi unapowaacha wazi
Wanasema chuma kikiwa cha moto ndio wakati mzuri wa kukipiga nyundo na kukifanya shepu utakayo,kikisha poa hutokiweza tena.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hili ni karibisho spesheli. Mgeni akili kumkichwa aisee!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji41][emoji41][emoji165] hebu chukua hiyo kwanza kwa kazi nzuri
Hii ni men 2 men au Boyz to men? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji818]mzee wa liver yupo karibu nataka nikung'ate sikio au nyama ya ulimi. [emoji23] [emoji23]
Itakuwa we ndiye umemteka ho chi minh mzee wa makamo si kwa hii kauli[emoji23] [emoji23]Katikati ya kundi la wasutaji maarufu.
MhZa kupotea ISIS
God iz bae bibie[emoji41]
Na uzuri wake wote huoMhhhh! she is very beautiful.
HahahahahHivi mafuta ya taa ukiyatumia kwa kazi nyingine bado utayaita ni mafuta ya TAA??
Hahahahaha nakuona sana sehemu nyingine uwa si comment chochote Na view nasepaSi unajua mi kama maji.
Usipo nioga utanimwa. [emoji23] [emoji23]
mzee wa liverMh
My Queen anapotea sio kweli kichwa kichafu ndio unapotea
Boyz boyz[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ni men 2 men au Boyz to men? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji818]
Kwema Nyanda wanee, Yomboga..Sawa mkuu. Ulikuwa ni utani tu. Kwema lakini?
Mkuu hili swali hata mm nilitaka kuliuliza sasa hivi.Mzee wa namba Rutashubanyuma yuko wapi leo?
Najua mfa maji lazima atape tapeSiasa zake hazina mashiko kwangu kuwa na amani lov
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kwema? Unajua aliye nacho anatafuta lugha/picha itakayo mfanya asiye nacho aamini kuwa mwisho wa siku wote watakuwa sawa.Tajiri akifa na masikini akifa wote ni maiti,watazikwa,lakini,familia ya tajiri itakuwa imara huku ikiomboleza kwa kuondokewa na mpenzi wao na wakati huo kufuata miiko ya kile alicho kiacha ili kiendelee kuwa nufaisha.Familia ya maskini itaomboleza kuondokewa na mpenzi wao,lakini pia,hali ya utafutaji itakuwa ngumu sana maana nguvu kazi itakuwa imepungua.Muhimu tupendane.Tusichoke kuitafuta ziada kwa manufaa ya baadae.Unajifariji Eeh!!😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ISIS KUWA MAKINI NA MANENO YA WANASIASA