Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo Mkuu Cole Williams jamaa anatania tu kuhusu kusepa kwake? Kama anatania basi poa tu maana akiondoka pengo lake hapa ni kubwa sana halitazibika. He is a very guy and and likeable with everyone on this thread and forum as a whole.
Yaap ni uzi wake huu wengine
Tumebahatika kupata wenza kwenye uzi, wake hawezi kimbia
Nyumba yake. Bila yeye hakuna uzi wa kulevya kupeana likes
 
Nitarudi tu mkuu
c4064cf141f546d8a1cacd119310a827.jpg

Ukinikwaza nilikuwekea picha hii ili angalau kupunguza machungu
 
Back
Top Bottom