carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nakuita.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] akikujibu tu....
Nakuita.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] akikujibu tu....
Hahahaha.....unataka kusema mfariji atakuwa......!?Aaah yaani ni vile nani hii anaondoka sana upepo unapita tu...GeJo yupo anaomboleza...mfariji nani?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Mwanafunzi daftari zake zipo mlangoni kwa GeJooo....Nakuona unahamia kwa GeJo sasa
Kwenye kina kirefu[emoji23][emoji23]acha kabisaTeh teh....amezama eeeh!??[emoji12] [emoji12]
Sitaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]andjul ita TRA ije kamata huyu
Nzuri tu,za wewe!?Sijambo habar yako?
Hela zake mmemlipa??Hatunaye huyu mtu. Nipo mimi na mke wangu Babe S
[emoji23][emoji23]mama's boy naona unashtaki[emoji23][emoji23][emoji23]GeJo njoo itandike hii mutu inanisumbua