thatonegAl
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 825
- 1,884
Watu wa humu ni kiboko aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa..leo hata lunch sili..nakula tu likesHabari ndo hiyo mkuu.Mimi naserereka tuu.
Hakunaaaa ni malikes tuu hadi ubadilishe ID.Wakuu, zimetosha! ASANTENI SANA.
Hahaha hujui kiingereza kimetoka uingereza kwa queen elizaberth.?Ndo kinini??au mchapio .com mkuu!??
Hahaa, kama aliwezwa na aliyempaka mwanzo sidhani kama mimi nitashindwa kumpaka'ta' tena!!Hahaha mgogo siku alivomjeuri utamweza kweli?
Hahaha in naytrueboy's voice.Shika adabu chalii angu
Hehe huo umri unakuhusu mkuu?Sawa mchangiaji mwenzetu
Kuna hadi wabunge na mawaziri wapo kwenye hii thread wanatoa like hadi boss wa ACACIA naskia kagoma kurudi Canada kanogewa na na jf yupo kwenye hii thread anagawa like....Najaribu kuvuta picha ya umri wa wachangiaji wa huu uzi, watakuwa under 30 wote! Samahani lakini wakuu kama kuna alieoko 30+
Hakuna mchoyo humu kula like iyoJapo mnipe tujilike tumia hivi...
hhehehe kidding mkuu usiogopeSitakutania tena maana mmh!
Utakula za uso kutoka kwa The BoldMkinipa likes nyingi si nitapa mrembo humu na Mimi. Nipeni like nipendwe na [HASHTAG]#Niffah[/HASHTAG] au Madame B
IyoNa mimi
Mtoa udhii kaoteshwa leo, safi sana, udhii unakimbia sana!!Sikamo ntoa udhii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna hadi wabunge na mawaziri wapo kwenye hii thread wanatoa like hadi boss wa ACACIA naskia kagoma kurudi Canada kanogewa na na jf yupo kwenye hii thread anagawa like....