Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Usimdharau usiemjua,mwache abaki na kipaji chake...baki na chako pia cha kushaur au kuwambia watu,sehemu walipo na huku wanafahamu.hahUnaonekana unakipaji cha kubuni ujinga!
Ila siku ukabuni ujinga kama huu then uka convert it to cash money utakuwa bonge LA billionaire kama yule Wa Facebook!
Dunian binadamu wanapenda vitu laini visivyo umiza kichwa, Fanya hivyo mkuu utajirike nimeona kpaji unacho!