Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaonekana unakipaji cha kubuni ujinga!
Ila siku ukabuni ujinga kama huu then uka convert it to cash money utakuwa bonge LA billionaire kama yule Wa Facebook!
Dunian binadamu wanapenda vitu laini visivyo umiza kichwa, Fanya hivyo mkuu utajirike nimeona kpaji unacho!
Usimdharau usiemjua,mwache abaki na kipaji chake...baki na chako pia cha kushaur au kuwambia watu,sehemu walipo na huku wanafahamu.hah
 
Za mbayuwayu changanya na zko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afu kuna MTU kakutaja huu Uzi we ndo the boss!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] bosi wa makanikia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
alafu mjue zile hela za makanikia zimeshatoka.mjiandae na account zenu kujazwa mapesaa.
Msio na account mkafungue sasaa
 
5c20ebe7988699a4caa32114f3aa4bca.jpg
 
Back
Top Bottom