minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,751
- 4,946
LikesKama Jina la uzi "UZI MAALUM WA KUPEANA LIKES"
Tangu asubuhi uzi wetu pendwa uliofanya mapinduzi na maajabu kwa muda mfupi na utaendelea kulipua nyuzi nyingi humu JF.
Naomba kwa pamoja katika ulimwengu wetu na kijiji
chetu hiki turudi kwenye UZI wetu tukachafue LIKES za kutosha kwa mleta uzi
Jembekillo kwa pamoja.
Mda mfupi tu na tuendelee kulipua LIKES katika haka
kakijiji tulikokutanishwa kwa pamoja.
LIKE KIROHO SAFI TU
Jembekillo muanzilishi wa UZI PENDWA.