myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
👍 👍Unayoyapitia yasikufanye ukose furaha Muda mwingine beba, achilia, hifadhi.Toka nje cheka furahia maisha yako hata kama una magumu ndani yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍 👍Unayoyapitia yasikufanye ukose furaha Muda mwingine beba, achilia, hifadhi.Toka nje cheka furahia maisha yako hata kama una magumu ndani yako.
🙏🙏Bali kwa Mungu yote Yanawezekana.” - Mathayo 19:26.
Mungu kwanza..Mungu kwanza mambo mengine badaeKwenye hayo Mengine weka mazoezi ni Muhimu kwa AFYA ya Mwili na AKILI hata unapo kwenda kutafuta RIZIki yako akili na mwili vinafanya kazi kwa pamoja
HUU UJUMBE MUHIMU..Kama ambavyo upepo mkali unaacha kuvunja maua mafupi ya kondeni, na kuangusha miti mirefu. Tambua kuwa ukikaribia kuchipua kimafanikio hata kidogo ndipo utaona mishale mikali ikitupwa juu yako kutoka kwa ndugu na marafiki ili kukuangusha.
Mungu kwanza..Mungu kwanza mambo mengine badaeKwenye hayo Mengine weka mazoezi ni Muhimu kwa AFYA ya Mwili na AKILI hata unapo kwenda kutafuta RIZIki yako akili na mwili vinafanya kazi kwa pamoja
NAKUBALI..Popote usomapo hii Ndugu, Nakutakia siku njema iliyojaa mafanikio kwa ajili yako na familia yako. Ikawe ni mwanzo mzuri wa mambo mazuri mbele yako.
HILI LIKO SAWA..Kama ambavyo upepo mkali unaacha kuvunja maua mafupi ya kondeni, na kuangusha miti mirefu. Tambua kuwa ukikaribia kuchipua kimafanikio hata kidogo ndipo utaona mishale mikali ikitupwa juu yako kutoka kwa ndugu na marafiki ili kukuangusha.