myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
KWELI
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama
📌📌📌Nidhamu itakufungulia milango mingi ya fursa zaidi ya akili.
SawasawaMtu mzima akivuliwa nguo huchutama
Ishi kwa uhuru. Fanya yako. Usifungwe na fikra za watu juu yako. Furahia maisha.
✔️✔️Huwezi kukua katika kelele, unahitaji utulivu ili sauti ndogo ndani yako iweze kukua na kukukuza katika maisha.
Ishi kwa uhuru. Fanya yako. Usifungwe na fikra za watu juu yako. Furahia maisha.
SafiiiiiHuwezi kukua katika kelele, unahitaji utulivu ili sauti ndogo ndani yako iweze kukua na kukukuza katika maisha.
Tenga muda, kaa mwenyewe, tumia upweke wako.
✅️✅️Usiwaze sana, watu hufikiria zaidi nafsi zao.
Hakuna anayepoteza muda wake adhimu kukuwaza wewe.
Tenga muda, kaa mwenyewe, tumia upweke wako.
SawaUsiwaze sana, watu hufikiria zaidi nafsi zao.
Hakuna anayepoteza muda wake adhimu kukuwaza wewe.
Usiwaze sana, watu hufikiria zaidi nafsi zao.
Hakuna anayepoteza muda wake adhimu kukuwaza wewe.
InawezekanaNyakati za upweke ni mwanzo wa kujitambua.
Fungua macho upate kuijua duni
✅️✅️Fungua macho upate kuijua duni
NakubalianaUsiache muda upite bila faida.
Upweke ni karama wachache huitumia.
Geuza upweke uwe nafasi ya makuz
Upweke ni karama wachache huitumia.
Geuza upweke uwe nafasi ya makuz
Yape maisha yako ladha bora, fungua akili, jifunze mambo mapya.
✅️✅️✅️Usisite kujifunza vitu vipya, maisha yanachosha kurudia vitu ulivyozoea