myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Usiku wa kula huoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yape maisha yako ladha bora, fungua akili, jifunze mambo mapya.
Usisite kujifunza vitu vipya, maisha yanachosha kurudia vitu ulivyozoea
👍👍👍Sehemu ya makuzi ni kujifunza.
Maisha husinyaa usipojipa nafasi ya kukua.
📌📌📌Sehemu ya makuzi ni kujifunza.
Kuna wanaozaliwa bila thamani. Tabia na hulka zao pekee zinaweza kuwapandisha
Mafanikio ya taratibu hujenga unyenyekevu.
Mafanikio ya taratibu hujenga unyenyekevu.
Mafanikio ya ghafla hujenga kiburi
SawasawaMafanikio ya ghafla hujenga kiburi
👍👍👍Kuna wanaozaliwa na thamani. Tabia na hulka zao pekee zinaweza kuwashusha
✔️✔️✔️Kuna wanaozaliwa bila thamani. Tabia na hulka zao pekee zinaweza kuwapandisha
Mafanikio ya taratibu hujenga unyenyekevu.
Hadi pale mlango mwingine utakapofunguka, jitahidi kutimiza wajibu wako mahali ulipo.
Pambana na changamoto zako, jifunze ili ufikie malengo yako haraka
Usiharakishe kufungua milango mingine wakati hujamaliza kazi muhimu kwa ngazi uliyopo.
✅️✅️✅️Pambana na changamoto zako, jifunze ili ufikie malengo yako haraka
✔️✔️✔️Kukimbia changamoto hakusaidii.