myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Siku njema walezi wa familia zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikosa elimu Ama ukaipata elimu ila ikagoma kuwa ufunguo kwako, Basi jitahidi ukigundue kipaji chako haraka sana
Inawezekana kabisaUkiona umeingia kwenye mfumo wa mtu amekutapeli, Tambua wewe ndio Umeleta Tamaa
Ukiona mbongo anakuita kwenye mchongo wa hela, Tambua kabisa wewe ndio mchongo, Hatunaga Utaratibu wa kuitana kwenye michongo ya Hela
🤣🤣Ukiona mbongo anakuita kwenye mchongo wa hela, Tambua kabisa wewe ndio mchongo, Hatunaga Utaratibu wa kuitana kwenye michongo ya Hela
👍👍Ukikosa elimu Ama ukaipata elimu ila ikagoma kuwa ufunguo kwako, Basi jitahidi ukigundue kipaji chako haraka sana
Ukiona mtu anafurahia maisha yake muache tu, Kuna mambo ya kuhuzunisha tunayopitia kila siku
Ni vizuri Kupatikana unapo hitajika lakini hakikisha usiwe rahisi kupatikana kwa kila mtu.
Moja ya kipimo cha utu uzima ni uwezo wa kuvumilia aibu ya leo ili kuepuka fedheha ya kesho."
Mchawi wa kwanza ni kinywa chako mwenyewe ukiwa hukitumii vizuri
Mchawi wa kwanza ni kinywa chako mwenyewe ukiwa hukitumii vizuri
Usipojua unapoelekea, kila hatua itakuwa ni mzunguko usio na maana, mfano Ukiingia gym bila lengo la kufikia mwili bora..uta endelea kufanya mazoezi lakini matokeo yata chelewa.

✔️✔️Moja ya kipimo cha utu uzima ni uwezo wa kuvumilia aibu ya leo ili kuepuka fedheha ya kesho."
Ishi na watu vizuri haujui utakutana nao wapi
Kuna ile kauli inasema ishi na watu vizuri iheshimu sana."
Ishi na watu vizuri, usisahau kuwa na mipaka
Ishi na watu vizuri, usisahau kuwa na mipaka