myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
๐๐๐Ishi na watu vizuri, hujui nani atakusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐Ishi na watu vizuri, hujui nani atakusaidia
โ ๏ธโ ๏ธโ ๏ธIshi na watu vizuri, usisahau kuwa na mipaka
Ishi na watu vizuri, hujui nani atakusaidia
Ishi na watu vizuri haujui utakutana nao wapi
Kuna ile kauli inasema ishi na watu vizuri iheshimu sana."
Baadhi ya watu hawakupendi kwa sababu nguvu zako zinawakumbusha udhaifu wao, Usiruhusu chuki ikukwamishe
Uaminifu ni zawadi ya thamani kubwa sana, Usiutarajie kupata kutoka kwa watu wa bei rahisi
๐๐Uaminifu ni zawadi ya thamani kubwa sana, Usiutarajie kupata kutoka kwa watu wa bei rahisi
Kama wazazi wako wanakutegemea wewe kamwe Usishindane na wale wanaowategemea wazazi wao. Usiigie maisha yao, wewe una mzigo mkubwa wa majukumu. Jenga maisha yako kwa akili, si kwa mashindano. Kipaumbele chako kiwe kuwainua wanaokutegemea, sio kushindana na watu

๐๐Baadhi ya watu hawakupendi kwa sababu nguvu zako zinawakumbusha udhaifu wao, Usiruhusu chuki ikukwamishe
Ishi kwa namna ambayo, ikiwa mtu atasema mabaya kuhusu wewe, hakuna atakayeyaamini.