Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Malengo yako hayakufanyi uwe wa kipekee. Wengi wana malengo kama yako.Ni matendo na subira yako vinavyokutofautisha na wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beba maji yako, tambua thamani ya kila tone
📌📌Kwenye changamoto, usikate tamaa. Jifunze, badili namna ya kutimiza lengo, kamwe usibadili lengo.Maisha hulipa wenye uvumilivu. Simama imara. Komaa
SawasawaBeba maji yako, tambua thamani ya kila tone
Vizuizi pekee ni fikra na mtazamo wako. Vingine ni visingizio.
Pambana na tambua thamani ya kila hatua ya mafanikio.
📌📌Pambana na tambua thamani ya kila hatua ya mafanikio.
Kuna wenye nacho ila njia walizopita zinawanyima uhuru wa kutambua na kuthamini nafasi zao
✔️✔️Mapito yakujenge kitabia ili maisha yako yawe funzo na maono kwa wanaotaka kufika ulipo.
Mapito yakujenge kitabia ili maisha yako yawe funzo na maono kwa wanaotaka kufika ulipo.
Vizuizi pekee ni fikra na mtazamo wako. Vingine ni visingizio.
Bilauri la maji hubebwa na mikono mingi, na bado maji yake hubaki safi kunywa.
Lakini mikono ikichovywa ndani yake, maji hupoteza usafi na kuwa najis.
Hapa hatuongelei bilauri wala maji, mwenye busara ang’amue.
Maana, bidhaa ikipatikana kirahisi na thamani yake hushuka.
✅️✅️✅️Bilauri la maji hubebwa na mikono mingi, na bado maji yake hubaki safi kunywa.
Lakini mikono ikichovywa ndani yake, maji hupoteza usafi na kuwa najis.
Hapa hatuongelei bilauri wala maji, mwenye busara ang’amue.
Maana, bidhaa ikipatikana kirahisi na thamani yake hushuka.
Mafanikio ni safari yenye changamoto na mafunzo lukuki. Uvumilivu, subira, na kiasi vina thamani kubwa kuliko matokeo ya muda mfupi.