Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kama hukuchangia, acha wengine wafaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachokosa si kipaji, ni mipango, umakini na uvumilivu. Unafanya vitu nusu na kuacha ukipata changamoto
👍👍Kama hukuchangia, acha wengine wafaidi.
Boresha fikra zako, tazama changamoto kama zilivyo, yaani daraja la kufikia malengo.Changamoto ni njia ya mkato, zikumbatie tu.
✔️✔️✔️Unachokosa si kipaji, ni mipango, umakini na uvumilivu. Unafanya vitu nusu na kuacha ukipata changamoto
Boresha fikra zako, tazama changamoto kama zilivyo, yaani daraja la kufikia malengo.Changamoto ni njia ya mkato, zikumbatie tu.
Mh!!! HatariiiUsiombe au kulilia mahusiano
Boresha fikra zako, tazama changamoto kama zilivyo, yaani daraja la kufikia malengo.Changamoto ni njia ya mkato, zikumbatie tu.
Unawaza zaidi matunda kuliko kufanya kazi yenye kuzaa matunda.Punguza kufikiri. Fanya zaidi.