myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SAHIHI..Kuwachafua Wengine Hakutaweza Kukusafisha Wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAHIHI..Kuwachafua Wengine Hakutaweza Kukusafisha Wewe
.....upendoPalipo Na upendo, Mwenyezi Mungu ufungua milango ya Mafanikio.
............Pambana Na Umaskini ✔️Unaweza Kuwa Upo Busy Unapambana Na Umaskini Unadhani Ndio Adui Wako Lakini Kuna Mtu Huko Nje Anapambana Na Wewe Anaona Wewe Ndio Adui Yake Mkubwa
📌📌Unaweza Kuwa Upo Busy Unapambana Na Umaskini Unadhani Ndio Adui Wako Lakini Kuna Mtu Huko Nje Anapambana Na Wewe Anaona Wewe Ndio Adui Yake Mkubwa
Kupenda unachofanya ..Kufanya kile unachopenda ni uhuru. Kupenda unachofanya ni
furaha.
UJUMBE..Unaweza Kuwa Upo Busy Unapambana Na Umaskini Unadhani Ndio Adui Wako Lakini Kuna Mtu Huko Nje Anapambana Na Wewe Anaona Wewe Ndio Adui Yake Mkubwa
SAWASAWAAjabu ya watu pindi unapo wathamini
watakudharau, pindi utakapo wadharau
watakuthamini
...huwezi kunyimwa vyote.Maisha huwezi kunyimwa vyote, usipopewa akili utapewa ujinga.
Usikate tamaa,Usikate tamaa,
Leo ni ngumu na kesho itakuwa mbaya zaidi, lakini keshokutwa kutakuwa na mwanga
✔️ ✔️Usikate tamaa,
Leo ni ngumu na kesho itakuwa mbaya zaidi, lakini keshokutwa kutakuwa na mwanga
SAWASAWA..watakusukuma uanguke ila wakishindwa watakwambia aah tulikusukuma utembeee haraka.
...binadamu ana MapungufuTujitahidi Kuvumilia Maana kila binadamu ana Mapungufu yake Kuna watu wanapenda kusifiwa tu na Kuna watu hawapendi kukosolewa kabisa
📌 📌Tafsiri Ya Maisha ni Vile Unavyoamua Kuishi
SAHIHIMatawi anayokula Ngamia Mbuzi hawezi kuyafikia. Maishani shughulika na yanayo kuhusu.
✅✅Matawi anayokula Ngamia Mbuzi hawezi kuyafikia. Maishani shughulika na yanayo kuhusu.
HESHIMA..Malipo kwa watu wanao kupenda ni kuwaheshimu tu.
KWELIUkiogopa kuonekana mbaya umechagua kuwa mnafiki.
NAKUBALI..Ukiogopa kuonekana mbaya umechagua kuwa mnafiki.
Jifunze KusameheKabla Ya Kujifunza Kupenda, Jifunze Kusamehe Kwanza