myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️Kamwe usiyape majivuno nafasi, Tuna muda mchache sana duniani kwasababu uhai ni zawadi kifo ni lazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✅️✅️Kamwe usiyape majivuno nafasi, Tuna muda mchache sana duniani kwasababu uhai ni zawadi kifo ni lazima.
✔️✔️✔️Tunaishi kwenye zama ambazo ukweli hauna nafasi wala haujalishi tena
📌📌📌Tunaishi kwenye zama ambazo ukweli hauna nafasi wala haujalishi tena
👍👍👍Kesho Unaweza Shangiliwa na Watu wale wale Waliokuzomea Jana Ni Swala
La Muda Tu
✅️✅️Uaminifu ukipotea huwa haurudi tena, Ukirudi huwa unageuka kuwa Wasi wasi
SawaUaminifu ukipotea huwa haurudi tena, Ukirudi huwa unageuka kuwa Wasi wasi
Swala la mudaKesho Unaweza Shangiliwa na Watu wale wale Waliokuzomea Jana Ni Swala
La Muda Tu
SawaKamwe usiyape majivuno nafasi, Tuna muda mchache sana duniani kwasababu uhai ni zawadi kifo ni lazima.
✅️✅️Jambo lolote linalo kudhoofisha kimwili, kiakili na kiroho, kaa mbali nalo kama unavyo kaa mbali na sumu.
Baraka✔️✔️Siri ya furaha Kwa mtu ni kukumbuka baraka alizonazo kabla hajakumbuka wasiwasi alio nao.
👍👍Siri ya furaha Kwa mtu ni kukumbuka baraka alizonazo kabla hajakumbuka wasiwasi alio nao.
✔️✔️✔️Siri ya furaha Kwa mtu ni kukumbuka baraka alizonazo kabla hajakumbuka wasiwasi alio nao.
✅️✅️✅️Ulimi hautelezi bali huiba yaliyomo moyoni
SawasawaUlimi hautelezi bali huiba yaliyomo moyoni
Unapoanza KUWAJIBIKA kwa KAULI, MAAMUZI na MATENDO yako ndio unapohama kutoka UTOTO kuelekea UTU UZIMA. UMRI pekee haukupi UTU UZIMA
Unapoanza KUWAJIBIKA kwa KAULI, MAAMUZI na MATENDO yako ndio unapohama kutoka UTOTO kuelekea UTU UZIMA. UMRI pekee haukupi UTU UZIMA
✔️✔️✔️Jambo lolote linalo kudhoofisha kimwili, kiakili na kiroho, kaa mbali nalo kama unavyo kaa mbali na sumu.
📌📌📌Jambo lolote linalo kudhoofisha kimwili, kiakili na kiroho, kaa mbali nalo kama unavyo kaa mbali na sumu.
Ni wewe tu..Huwezi kumbadilisha mtu ambaye haoni kosa lolote katika tabia na matendo yake. Ni wewe kubadili mtizamo wako kwa mtu huyo.
✅️✅️Kitu Kizuri Ukikifanya kwa Nia Mbaya Hakifanikiwi Na Uzuri wake wote