myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
📌📌Mimi nitakutangulia, na kuisawazisha milima mbele yako. Nitaivunjavunja milango ya shaba, na kuvikatakata vizuizi vyake vya chuma. Nitakupa hazina zilizofichwa gizani, na mali iliyo mahali pa siri, upate kutambua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.” — Isaya 45:2-3