Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi nitakutangulia, na kuisawazisha milima mbele yako. Nitaivunjavunja milango ya shaba, na kuvikatakata vizuizi vyake vya chuma. Nitakupa hazina zilizofichwa gizani, na mali iliyo mahali pa siri, upate kutambua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.” — Isaya 45:2-3
📌📌
 
📌📌
Hata pilipili zikipangwa vizuri huvutia lakini kuvutia kwake hakuondoi muwasho wake. Vivyo hivyo, uongo ukipangwa vizuri huvutia ingawa kuvutia kwake hakuugeuzi uongo kuwa ukweli. Kuwa makini sana na vitu vilivyo katika mpangilio mzuri. Katika mpangilio pia kuna vimeo na vilio.
 
📌📌📌
 
Back
Top Bottom