Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Katika Maisha ukiwa unapambana kuna watu watataka kukukatisha tamaa na kukurudisha nyuma, usiangaike nao, Ongeza juhudi mafanikio huja kwa wale wanaopambana na siyo wanaowakatisha wenzao tamaa