Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakubaliana na wewe
Penda sana kutumia neno TUMEFANYA, husudu neno TUMESHINDA, usikimbilie kusema neno TUMEPOTEZA kama hujawahi kusema TUMEFANYA, popote tanguliza wingi, jiweke nyuma ama kaeni mbele nyote kwa pamoja, mwisho wa siku mtafanya kwa wakati wenu na kuondoka zenu
 
📌📌📌
Usisahau kuna wakati wakishakuumiza watarudi kuulizia unaendeleaje ili wapime ukubwa wa majeraha waliyokuachia, waache waende tutawapa tabasamu, wakirudi tutawaonesha tabasamu, ushindi wao ni kutuona tukiumia na wanaumia sana kuona hatujaumia
 
TUMEFANYA SIO NIMEFANYA..
Penda sana kutumia neno TUMEFANYA, husudu neno TUMESHINDA, usikimbilie kusema neno TUMEPOTEZA kama hujawahi kusema TUMEFANYA, popote tanguliza wingi, jiweke nyuma ama kaeni mbele nyote kwa pamoja, mwisho wa siku mtafanya kwa wakati wenu na kuondoka zenu
 
✅️✅️✅️
Tukiumizwa tunapaswa kulia lakini tukisonga mbele, tunapofeli tunapaswa kujipanga, tunapokosewa tunapaswa kusamehe, tunapooneshwa dharau sisi tuwalipe heshima, hatulipi ubaya kwa ubaya, hatuiti kisu kwa kisu, tunalipa upendo kwenye chuki, tunalipa wema kwenye ubaya”
 
👍👍👍

Tuna makosa yetu ila tuna mema yetu, tuna uzuri wetu na tuna ubaya wetu, tuna vilio na furaha kwenye maisha yetu na maisha ya wengine, akitokea Mtu akahubiri mabaya yetu kuliko mazuri yetu basi hatutajielezea kwakuwa Binadamu hutaka kusikia anachotaka kuambiwa
Ujumbe huu
 
✅️✅️
 
Back
Top Bottom