Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
kuna watu HAWAKUTHAMINI kwa sababu bado hawajaijua thamani yako, lakini hiyo haimaanishi hauna thamani kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thamani yako haiongezwi kwa KUBISHANA ama KUSHINDANA na WASIOKUTHAMINI bali kwa KUENDELEA KUFANYA BILA KUCHOKA vitu vya THAMANI kwenye maisha yako.