Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafuta maisha lakini usisahau kuishi maana haujui kitakachotokea katika dakika inayofuata, siku kadhaa, miezi, au miaka, kwa hiyo ishi maisha kikamilifu, Kuwa na shukrani kwa baraka zilizo karibu yako, acha kupoteza muda kwa mambo usiyoweza kudhibiti
Aisee
 
👍👍
Maisha ni ligi na kuishi ni kushinda. Kila siku na dakika kuna mtu anaaga mashindano. Umeamka leo sababu umeshinda pambano lililopita na kuendelea kuwepo kwako baadae na kesho kunategemea kushinda kwako mapambano yajayo. Nafasi yako kwenye ligi inategemea pia mechi za wenzako.
 
✔️✔️
 
✅️✅️✅️
 
Maisha ni muhimu

SAWAAAA

Kama uko na nafasi ya kununua nguo nzuri nunua, kula vizuri kula, kupanga nyumba nzuri panga, kutoka na mama toka, maisha ni mchezo wa kuviziana nafasi nazo ni chache nyingi ni majukumu. Usipitwe na nafasi zako
 
Back
Top Bottom