Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kwenye maisha ukitamani na kusukumwa sana na kiu ya kupata matokeo au faida za haraka kwenye kila kitu basi ujue utayahatarisha maisha yako sana. Mafanikio ya haraka yana gharama kubwa kuliko subira