myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu amlinde mwenyewe
📌📌🤸🤸🤸 Everybody dance now
📌📌The first time
✔️✔️Endapo mtu anapendelea mtu mwingine zaidi kuliko wewe usijipe huzuni Maana Huwezi kumshawishi nyani kuwa asali ni tamu kuliko ndizi..
Nakubaliana na hiliUsiku Una Mambo Mengi, Mkumbuke Muumba Wako Hata kwa Dakika 5 Kabla Ujafumba Macho
✅️✅️✅️Muda mwingine wana gundua tulikuwa sahihi kwao kisha wana amua kurudi kwetu kipindi wamechoshwa wakachoka ubaya wanatukuta na sisi tumechoshwa tukachoka hatu aminiani tena
📌📌Muda mwingine wana gundua tulikuwa sahihi kwao kisha wana amua kurudi kwetu kipindi wamechoshwa wakachoka ubaya wanatukuta na sisi tumechoshwa tukachoka hatu aminiani tena
👍👍Muda mwingine wana gundua tulikuwa sahihi kwao kisha wana amua kurudi kwetu kipindi wamechoshwa wakachoka ubaya wanatukuta na sisi tumechoshwa tukachoka hatu aminiani tena
✔️✔️Kila unaekutana nae maishani ndani yake kuna mtu usiemfahamu,ndani yake anapigana vita usiyoifahamu Jifunze kua mwema siku zote
✅️✅️Endapo mtu anapendelea mtu mwingine zaidi kuliko wewe usijipe huzuni Maana Huwezi kumshawishi nyani kuwa asali ni tamu kuliko ndizi..
📌Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.Zaburi 121:1-2
✅️✅️Kila siku ni nafasi ya kujifunza, hivyo jifunze kutoka kwa kila mtu na kwa kila tukio
👍👍👍Kila siku ni nafasi ya kujifunza, hivyo jifunze kutoka kwa kila mtu na kwa kila tukio
✔️✔️✔️Kila mtu anajambo lake analojutia kwenye maisha yake, Kujutia ni sehemu ya ubinadamu wetu, Hakuna aliye kamilika na anafanya vitu kwa usawa.
Kila mtu anajambo lake analojutia kwenye maisha yake, Kujutia ni sehemu ya ubinadamu wetu, Hakuna aliye kamilika na anafanya vitu kwa usawa.
✔️✔️Kila mtu anajambo lake analojutia kwenye maisha yake, Kujutia ni sehemu ya ubinadamu wetu, Hakuna aliye kamilika na anafanya vitu kwa usawa.
SawasawaKama una amini kugombana na kila mtu ndio kuheshimika na kuogopwa,basi wewe Ni dhaifu sana
Safiiiii