Uzi maalum wa kupeana mawazo ya biashara

[emoji121]
MIRADI YA UPIGAJI!!!
[emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469]
 
Mkuu nina mtaji mzuri tu asee, kama upo tayari njoo PM tuyajenge.
 
Kwa ushauri wa biashara na usimamizi. Business plan na yahusuyo business.
Msiwe na tabu ni follow instagram @dr_allyj
LinkedIn. ALLY JUMA
Whatsap 0658576708.
Gharama ni nafuu tu.
 
ni kweli mkuu,lakini sio biashara zote zinahitaji uanze na elf 50,au toeni ideas ambazo mtaji huu unaweza kufanya biashara gani????
Hali imekuwa ngumu sana anza hata na elfu ishirini,mm nilianza na elfu 50,nikawa nafunga ice cream za 100 na juice za 500 nawapa vijana wanatembeza amini hukosi hela nilianza na wa3 kila mtu anauza na faida tunagawana kati kati na kila siku kila mtu faida inaanzia 10000 biashara ikiwa si nzr so mkigawana ww unalamba 5000x3=15000
15000x30 kidogo inaingia huku na ww ukiwa unaendelea kupigana upande mwingine vitu natengeneza mwenyewe jioni nikitoka job tusidharau biashara ndogo ndogo zinaweza kukutoa kimaisha kabisa,sasa natafuta wengine wawe wanauza mashuleni kwani nimeshaanza kufuatilia taratibu za kuingia kuuza mashuleni
 
Kabisa mkuu

# Inspired
 

hongera mkuu,niungishe,😛🙂
 
wazee m nahtaj mfano wa buznes plan wakuu
Zipo templates mbalimbali za buznec plan coz hakuna specific format ya kuandaa buznec plan.(google mtandaon kam hutojali).

ILA
Kama ulimaanisha mtu akutengenezee it needs some talks and details of information to write buznec plan in solid way.{some how t needs energy invstment n time}
Priceless soul ,he is expert for this too.
 
Mawazo mazuri sana huu mfumo upo baadhi ya nchi umerasimishwa unaitwa farm sponsorship, ni wapi huko wanakopesheka, unafanyeje ili warudishe wakivuna?
 
Mawazo mazuri sana huu mfumo upo baadhi ya nchi umerasimishwa unaitwa farm sponsorship, ni wapi huko wanakopesheka, unafanyeje ili warudishe wakivuna?
Mikoa ya nyanda za juu kusin , hasa vijijini kama ruvuma , rukwa ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…