Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Uzi huo hapo mkuu , na Kuna zingine nyingi zipo kwenye jukwaa hili zinaelezea forex , Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedomTupe elimu zaidi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi huo hapo mkuu , na Kuna zingine nyingi zipo kwenye jukwaa hili zinaelezea forex , Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedomTupe elimu zaidi mkuu
[emoji121]Nadhani uzi nimzuri. Hapa kuna biashara ya msimu na biashara ambayo ungependa baada ya miaka 3 hadi 5 uko financially stable. Hii ndio nitatolea wazo.
Kuna kilimo cha parachichi kwaajili ya masoko ya nje. Mnaungana kwenye group la watu kama 10 ili muwekeze angalau akari 50 hadi 100. Mna-outsource kazi zote na kampuni then baada ya miaka 3 mnaanza kupata kipato. At year 6, kama mmewekeza eka 100 kwa watu 10, kila mtu anauwezo wa kupata kati ya milion 50 -70 kwa mwaka bila kuhabgaika management na marketing issues. Kwamaelezo zaidi ni PM
Mkuu nina mtaji mzuri tu asee, kama upo tayari njoo PM tuyajenge.Fursa zipo sana .
Wakati huu Wa masika maisha ya watu yanakuwa magumu sana hasa kifedha , kuna ile mikoa inazalisha mahindi , unaingia bush moja na kilo 5 yako unawakopesha hela ili wakulipe mahindi baada ya mavuno ya mahindi , .. Mfano kuna sehemu moja watu wapo tayari kukopeshwa Tsh 20,000/= ili walipe gunia moja LA mahindi mwezi Wa 7 ... So chukua laki5 gawa kwa elfu 20 utakuwa na magunia ya mahindi 25
Kwa mwaka huu bei ya mahindi kwa gunia hapo hapo kijijini ilifika elfu 45 kwa gunia. Na hiyo bei ilikuwa wakati wanavuna mwezi Wa 8,9 hadi October. so ukichukua elfu 45 zidisha kwa gunia 25 unapata Tsh 1,125,000/= hapo mzigo umeuzia hukohuko bush hujaangalia masoko ya mbele...
Pia kuna ishu ya mbolea , yani ukiwa na mtaji wako Wa kueleweka kama M1 nakuendelea unanua mbolea hafu unawakopesha wakulima , mfuko mmoja Wa mbolea utapewa gunia 2.5 wakishavuna. So chukulia ukinunua mifuko ya mbolea (UREA) Mifuko 25 kila mfuko elfu 41,000 kwa huko bush itakugharimu Tsh 1,025,000/= hapo hutolipia tena usafir maana unanunua hapo hapo bush na kukopesha kwa wakulima. Piga hesabu baada ya mavuno utakuwa na magunia 50 km utakopesha kila mfuko kwa gunia 2 tu za mahindi achana na gunia 2.5 walivyozoea , gunia 50 ukaamua kuuza hapo hapo kijini kwa kila gunia elfu 45 utakuwa na kama Tsh 2,250,000/= hapo hujaangalia masoko mengine ya mahindi,, huu tunaita uwekezaji Wa muda mrefu..
Ni PM chiefMkuu nina mtaji mzuri tu asee, kama upo tayari njoo PM tuyajenge.
Nimejaribu inadunda mkuuNi PM chief
NimekupmNimejaribu inadunda mkuu
Hali imekuwa ngumu sana anza hata na elfu ishirini,mm nilianza na elfu 50,nikawa nafunga ice cream za 100 na juice za 500 nawapa vijana wanatembeza amini hukosi hela nilianza na wa3 kila mtu anauza na faida tunagawana kati kati na kila siku kila mtu faida inaanzia 10000 biashara ikiwa si nzr so mkigawana ww unalamba 5000x3=15000ni kweli mkuu,lakini sio biashara zote zinahitaji uanze na elf 50,au toeni ideas ambazo mtaji huu unaweza kufanya biashara gani????
Kabisa mkuuHali imekuwa ngumu sana anza hata na elfu ishirini,mm nilianza na elfu 50,nikawa nafunga ice cream za 100 na juice za 500 nawapa vijana wanatembeza amini hukosi hela nianza na wa3 kila mtu anauza na faida tunagawana kati kati na kila siku kila mtu faida inaanzia 10000 biashara ikiwa si nzr so mkigawana ww unalamba 5000x3=15000
15000x30 kidogo inaingia huku na ww ukiwa unaendelea kupigana upende mwingine vitu natengeneza mwenyewe jioni nikitoka job tusidharau biashara ndogo ndogo zinaweza kukutoa kimaisha kabisa,sasa natafuta wengine wawe wanauza mashuleni kwani nimeshaanza kufuatilia taratibu za kuingia kuuza mashuleni
Hali imekuwa ngumu sana anza hata na elfu ishirini,mm nilianza na elfu 50,nikawa nafunga ice cream za 100 na juice za 500 nawapa vijana wanatembeza amini hukosi hela nianza na wa3 kila mtu anauza na faida tunagawana kati kati na kila siku kila mtu faida inaanzia 10000 biashara ikiwa si nzr so mkigawana ww unalamba 5000x3=15000
15000x30 kidogo inaingia huku na ww ukiwa unaendelea kupigana upende mwingine vitu natengeneza mwenyewe jioni nikitoka job tusidharau biashara ndogo ndogo zinaweza kukutoa kimaisha kabisa,sasa natafuta wengine wawe wanauza mashuleni kwani nimeshaanza kufuatilia taratibu za kuingia kuuza mashuleni
Uko siriazhongera mkuu,niungishe,😛🙂
Uko siriaz
Na huna mpango wa kuondoka huko sitimbiniko huku sitimbi,ningekua mjini ningejiunga,sina biashara yoyote,lol
Na huna mpango wa kuondoka huko sitimbi
Haha okey ila basi utakua uko vizuri kama hutaki hata kurudisitimbi hakuna stress kama mjini lol,Merry Christmas mkuu ....
Zipo templates mbalimbali za buznec plan coz hakuna specific format ya kuandaa buznec plan.(google mtandaon kam hutojali).wazee m nahtaj mfano wa buznes plan wakuu
Mawazo mazuri sana huu mfumo upo baadhi ya nchi umerasimishwa unaitwa farm sponsorship, ni wapi huko wanakopesheka, unafanyeje ili warudishe wakivuna?Fursa zipo sana .
Wakati huu Wa masika maisha ya watu yanakuwa magumu sana hasa kifedha , kuna ile mikoa inazalisha mahindi , unaingia bush moja na kilo 5 yako unawakopesha hela ili wakulipe mahindi baada ya mavuno ya mahindi , .. Mfano kuna sehemu moja watu wapo tayari kukopeshwa Tsh 20,000/= ili walipe gunia moja LA mahindi mwezi Wa 7 ... So chukua laki5 gawa kwa elfu 20 utakuwa na magunia ya mahindi 25
Kwa mwaka huu bei ya mahindi kwa gunia hapo hapo kijijini ilifika elfu 45 kwa gunia. Na hiyo bei ilikuwa wakati wanavuna mwezi Wa 8,9 hadi October. so ukichukua elfu 45 zidisha kwa gunia 25 unapata Tsh 1,125,000/= hapo mzigo umeuzia hukohuko bush hujaangalia masoko ya mbele...
Pia kuna ishu ya mbolea , yani ukiwa na mtaji wako Wa kueleweka kama M1 nakuendelea unanua mbolea hafu unawakopesha wakulima , mfuko mmoja Wa mbolea utapewa gunia 2.5 wakishavuna. So chukulia ukinunua mifuko ya mbolea (UREA) Mifuko 25 kila mfuko elfu 41,000 kwa huko bush itakugharimu Tsh 1,025,000/= hapo hutolipia tena usafir maana unanunua hapo hapo bush na kukopesha kwa wakulima. Piga hesabu baada ya mavuno utakuwa na magunia 50 km utakopesha kila mfuko kwa gunia 2 tu za mahindi achana na gunia 2.5 walivyozoea , gunia 50 ukaamua kuuza hapo hapo kijini kwa kila gunia elfu 45 utakuwa na kama Tsh 2,250,000/= hapo hujaangalia masoko mengine ya mahindi,, huu tunaita uwekezaji Wa muda mrefu..
Mikoa ya nyanda za juu kusin , hasa vijijini kama ruvuma , rukwa ,Mawazo mazuri sana huu mfumo upo baadhi ya nchi umerasimishwa unaitwa farm sponsorship, ni wapi huko wanakopesheka, unafanyeje ili warudishe wakivuna?
Kwa sasa tupeane mawazo hayowakuu ishu sio mawazo ya biashara,ishu ni kupata mtaji,............