Uzi maalum wa kusherehekea ushindi wa kombe la Dunia (FIFA) utakochukuliwa na Tanzania mwaka XXXX

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4.

Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba kombe hilo kwa mara ya kwanza.

Nawaza tu jinsi mwaka lets say 2100 au 2200 au wowote ule tutakaposhinda, jinsi comments za nderemo na vifijo zitakavokuwa nyingi humu. πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ Amen.

 
Kipindi icho Ndugai atakuepo?

Nataka nihidhurie Bungeni wanapoenda kupongezwa!

Siasa siasa siasa
Mbaya!
 
Bullshit!!!! Yaani huu uzi mnaona ni Jokes na utani? Ama kweli akili ni nywele, na kila mtu ana zake, siwezi kulazimisha taahira akawa na akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…