FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4.
Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba kombe hilo kwa mara ya kwanza.
Nawaza tu jinsi mwaka lets say 2100 au 2200 au wowote ule tutakaposhinda, jinsi comments za nderemo na vifijo zitakavokuwa nyingi humu. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Amen.