Uzi maalum wa kusherehekea ushindi wa kombe la Dunia (FIFA) utakochukuliwa na Tanzania mwaka XXXX

Kongole taifa stars kwa ushindi mlioupata fainali dhidi ya Uingereza , pongezi ziende kwa seriksli ya awamu ya XXXX
 
 
Maneno huwa yanaumba na kuwa Kweli. Mungu ni kama vile tayari amesikia Maombi yetu.

Safari yenyewe inaanza leo kama utani tunamchapa DRC kisha Madagascar akiwa kwao. Kabla ya kwenda Qatar Tutamtoa Moroco kwa taabu sana.

Kule Qatar World cup tutapangwa kundi moja na Mwenyeji Qatar pamoja na England - Aston villa watajuta kwa nini walimtelekeza Samata. Maana Tutashinda game mbili tu dhidi ya Qatar na England - Nyingine zote tutafungwa na ndoto yetu ya ushiriki itaishia hapo.
 
Tanzania Football Failure
Mimi mwenyewe niliwazaga nitakuja kuwa wa kwanza darasani ila mpaka leo sijatimiza ndoto nauzee huu sembuse TFF 😂
 
Jamiiforum iendelee kuwepo mpaka miaka hiyo...

Wenye ID leo wote hawatakuwepo tena miaka hiyo...
Zaidi yangu mimi tu Smart911 na katoto kangu... kanajijua chenyewe tutaendelea kuwepo...
 
Mpaka yesu anarudi bongo hatushindi hilo kombe🤣🤣🤣🤣
 
Kuwa na imani, have faith
" Faith is the assured expectation of things hoped for, the evident demonstration of realities though not beheld"

So let me ask u, is there anything assuring us success looking back at yesterdays performance or the overall management of football in the country for that matter?
 
Mabadiliko yapo, kuwa na imani
 
Mabadiliko yapo, kuwa na imani
Tunajindanga kaka. Toka mwinyi aibatize timu yetu lile jina...hatujabadilika.
Tusijidanganye ile afcon ya amunike....hapo ni kwamba uganda alikuwa tayari alishafuzu akatuachia tuu.

Sie hatuna misingi mizuri ya kutupa mafanikio katika soka la kimataifa, national team. Tunatoa visingizio vingi lakini hatugusi sababu yenyewe.
Leo hii mashuleni hamna viwanja vya michezo unategemea utapata wapi wachezaji? Unaendesha mashindnao ya u20 wamejaa vijeba wa miaka 25 alafu unajidifia. Huo ni ujinga.

Tunajidanga bro. Tuwe wakweli sisi hatujafanya kile mafanikio yanahitaji.
 
Hakika siku hii Watanzania watafurahi sana.

Miaka 100+ huko mbele tutanyanyua Kombe la Dunia na Afrika itasimama
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…