Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania Football FailureUzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4.
Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba kombe hilo kwa mara ya kwanza.
Nawaza tu jinsi mwaka lets say 2100 au 2200 au wowote ule tutakaposhinda, jinsi comments za nderemo na vifijo zitakavokuwa nyingi humu. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Amen.
View attachment 1929504
Labda ccm itoke madarakani kwanza.
Mi nadhani uzi uishie hapa, uchomwe moto uteketee.[emoji137]
Mpaka yesu anarudi bongo hatushindi hilo kombe🤣🤣🤣🤣Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4.
Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba kombe hilo kwa mara ya kwanza.
Nawaza tu jinsi mwaka lets say 2100 au 2200 au wowote ule tutakaposhinda, jinsi comments za nderemo na vifijo zitakavokuwa nyingi humu. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Amen.
View attachment 1929504
Kuwa na imani, have faithMpaka yesu anarudi bongo hatushindi hilo kombe🤣🤣🤣🤣
" Faith is the assured expectation of things hoped for, the evident demonstration of realities though not beheld"Kuwa na imani, have faith
Mabadiliko yapo, kuwa na imani" Faith is the assured expectation of things hoped for, the evident demonstration of realities though not beheld"
So let me ask u, is there anything assuring us success looking back at yesterdays performance or the overall management of football in the country for that matter?
Tunajindanga kaka. Toka mwinyi aibatize timu yetu lile jina...hatujabadilika.Mabadiliko yapo, kuwa na imani
Hakika siku hii Watanzania watafurahi sana.Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4.