Uzi maalum wa kutambua marafiki wanaotumia simu kama yako.

Uzi maalum wa kutambua marafiki wanaotumia simu kama yako.

Hello WanaJF huu ni uzi maalum wa kutambua unatumia simu ya Aina gani??, Kwa kufanya hivyo utaweza kuwatambua wanaJF wanaotumia simu kama yako na utaweza kujiongezea marafiki kwa Uzi huu.
Unachotakiwa kufanya ni Kucomment simu unayoitumia kwa sasa, na Atakayeilike ni yule anayetumia simu kama yako. Lets go...

Usiongope ushahidi unaweza kuwa screenshot..[emoji3]
Natumia Nokia 3200

Don't tress urself with knowing all answers to every question. Don't worry nobody will be clever enough to ask you
 
Back
Top Bottom