Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma
Ubaguzi [emoji12] [emoji12] [emoji12]Watu na iphone zetu., nashangaa tunacomment sehemu moja na wenye Tecno.
Sent from my iphone 7 using Jamiiforums mobile app.
Hiyo sentence ya mwisho nimechekaaNatumia tecno alaji.
Simu zingine zinatabia mbaya saana. Ukiwa nayo ina JiCc hapo chini.
Cc tecno z4 from sijui where [emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125]
Natumia Nokia 3200Hello WanaJF huu ni uzi maalum wa kutambua unatumia simu ya Aina gani??, Kwa kufanya hivyo utaweza kuwatambua wanaJF wanaotumia simu kama yako na utaweza kujiongezea marafiki kwa Uzi huu.
Unachotakiwa kufanya ni Kucomment simu unayoitumia kwa sasa, na Atakayeilike ni yule anayetumia simu kama yako. Lets go...
Usiongope ushahidi unaweza kuwa screenshot..[emoji3]
wahaya bhana eti iPhone 8Soma hapo chini
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app