anhaa hebu tupe tofauti kati ya biashara na ujasiriamali twende sawa kwanzavyuma mkuu makosa ya kiandishi
mkuu ujasiliamali ni sehem ya biashara lakini biashara si lazima iwe ujasliamalianhaa hebu tupe tofauti kati ya biashara na ujasiriamali twende sawa kwanza
anhaa hapo sawa, kwa hiyo hivi vitu vinaendana?mkuu ujasiliamali ni sehem ya biashara lakini biashara si lazima iwe ujasliamali
vinaendana mkuuanhaa hapo sawa, kwa hiyo hivi vitu vinaendana?
naona mkuuvinaendana mkuu
ndo ilivyo mkuu nyuzi za kujenga zinakuwaga hiviuzi mzur lkn nasikitika hautapitiwa kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]Kubet.
sijui kwa nin yaanndo ilivyo mkuu nyuzi za kujenga zinakuwaga hivi
kuna siri kubwa katika kufanikisha biashara nje ya zile tuonazo.sijui kwa nin yaan
Kwa wale risk takers wanajitungua kweli kweli.Kubet.
nafatilia mjadalakuna siri kubwa katika kufanikisha biashara nje ya zile tuonazo.
maoni yangu hayo
.....kwa kuongezea, ujasiriamali mara nyingi inakuwa inahusu kubuni kitu/vitu au huduma fulani ambayo itakuingizia pesa,mkuu ujasiliamali ni sehem ya biashara lakini biashara si lazima iwe ujasliamali
asante mkuu kwa kufafanua vizuri.....kwa kuongezea, ujasiriamali mara nyingi inakuwa inahusu kubuni kitu/vitu au huduma fulani ambayo itakuingizia pesa,
Biashara ni kununua na kuuza bidhaa.
Sijui kama nimeeleweka kidogo hapa.
mkuu tuwekee na mbinu za kubet nayo si haba madam tunaweza kupata pesa haijalish.Kubet.
sijaelewa hapa chiefkuna siri kubwa katika kufanikisha biashara nje ya zile tuonazo.
maoni yangu hayo