Wasaalam.
Wakuu kama mada tajwa hapo juu,
Naomba kila mtu mwenye biashara ya ujasiriamali ambayo amewahi kufanya au pengine mpaka sasa anafanya. Dhumuni la uzi ili kila mtu apate mbinu mbadala za kukaribiana na hali ya sasa.
Wakuu naomba ushirikiano wenu biashara yeyote halali ya kijasiriamali share nasi itatufaa sana.
Asanteni.