mwiru jojo
Senior Member
- Feb 13, 2018
- 152
- 143
hii comment yako peleka jukwaa la siasa au anzisha thread ya hii comment...hili jukwaa la kutafuta pesa...stress zenu pelekeni jukwaa la siasa. hapa ni pesa...tupa kule siasa uchwarawatanzania ni wamoja tuilinde amani yetu.mimi naapa ya kuwa sitashawishika kuivunja amani ya nchi yangu tarehe 26.04.2018.nitailinda na kuitetea amani ya nchi yangu kama katiba ya nchi yangu iniongozavyo.
#kataa_maandamano
#linda_amani_ya_mama_Tanzania
Na.komredi Mgema
[HASHTAG]#mwanamapinduzi[/HASHTAG]
mkuu hii bitclub ikoje weka nyama tafadhaliMimi nafanya graphic design na pia nimewekeza na Bitclub Advantage (online investment)
safi sana mkuu...je unatumia nini kujitangaza au kuonesha kazi zakoMimi nafanya graphic design na pia nimewekeza na Bitclub Advantage (online investment)
mchina au mbao za kawaida?View attachment 713877mezaa za chakula 480000
pamoja na meza mkuu?View attachment 713873stendi ya TV 200000
........yeah bro hatutegemei mtu afanikiwe kwa kukwepa kodi kisha trick hiyo aitangaze hadharani,pia njia nyengine ni kufanya biashara isiyo halali kama kununua vitu vya wizi na kuuza vitu vyenye low quality kwa bei ya original also kufanya dhuluma.namaanisha watu waliofanikiwa wengi huwa wanatumia njia mbadala ambazo si rahisi kuziweka wazi.
Natumia Social Media, na zaidi kazi zenyewe zinajitangaza mana graphics ni kazi ya kuonekana, wateja wangu pia wananitangaza, kwa Bitclub Advantage natumia Social Groups kuhamasisha watu, thankssafi sana mkuu...je unatumia nini kujitangaza au kuonesha kazi zako
mkuu hii bitclub ikoje weka nyama tafadhali
Uboya huu. Pita kushotowatanzania ni wamoja tuilinde amani yetu.mimi naapa ya kuwa sitashawishika kuivunja amani ya nchi yangu tarehe 26.04.2018.nitailinda na kuitetea amani ya nchi yangu kama katiba ya nchi yangu iniongozavyo.
#kataa_maandamano
#linda_amani_ya_mama_Tanzania
Na.komredi Mgema
[HASHTAG]#mwanamapinduzi[/HASHTAG]
mkuu asante nitakutafta tueleweshaneBitclub Advantage ni kampuni ya online Investment, unawekeza pesa yako unapata returns (faida) wao wanafanya biashara ya cryptocurrency yaani kununua na kuuza sarafu za kidigitali, hii inahitani moyo wa chuma lakini maana wabongo wengi wanaogopa biashara za mitandao (online) na hata wengine kabla ya kuchuguza watakwambia tu utapeli huo, wabongo hatujazoea ila hii inalipa kweli, niko kazini so napata shida kuandika sana lakini ukitaka zaidi you can PM me mkuu
Utuletee mrejesho mkuumkuu asante nitakutafta tueleweshane
Ooh! [emoji122]Mimi najishughulisha na uuzaji wa batiki(natengeneza mwenyewe)..sabuni za aina zote(maji..vipande)mafuta ya nywele na mafuta ya wanawake(lotion) na ni makeup artist