Uzi maalum wa kutupia biashara yoyote ya kijasiriamali unayofanya au uliwahi kufanya

Uzi maalum wa kutupia biashara yoyote ya kijasiriamali unayofanya au uliwahi kufanya

IMG-20170222-WA0015.jpeg
stendi ya viatu na mikobaa 120000
 
Uzi unalengo zuri sana lakn Keyboard ni ngumu sana kuidonoa mpaka upate nyama ya point +vyuma vya mzee ...
 
watanzania ni wamoja tuilinde amani yetu.mimi naapa ya kuwa sitashawishika kuivunja amani ya nchi yangu tarehe 26.04.2018.nitailinda na kuitetea amani ya nchi yangu kama katiba ya nchi yangu iniongozavyo.
#kataa_maandamano
#linda_amani_ya_mama_Tanzania
Na.komredi Mgema
[HASHTAG]#mwanamapinduzi[/HASHTAG]
hii comment yako peleka jukwaa la siasa au anzisha thread ya hii comment...hili jukwaa la kutafuta pesa...stress zenu pelekeni jukwaa la siasa. hapa ni pesa...tupa kule siasa uchwara
 
namaanisha watu waliofanikiwa wengi huwa wanatumia njia mbadala ambazo si rahisi kuziweka wazi.
........yeah bro hatutegemei mtu afanikiwe kwa kukwepa kodi kisha trick hiyo aitangaze hadharani,pia njia nyengine ni kufanya biashara isiyo halali kama kununua vitu vya wizi na kuuza vitu vyenye low quality kwa bei ya original also kufanya dhuluma.

Ila njia hizi huwa ni za hatari sana unless yule mfanyaji awe nae ni kichwa kibovu maana hapa atakutana na mamlaka za kiserikali akafilisiwa{japo hii kwa nchi zetu za Kiafrika sio rahisi maana kuhongana kwingi sana}pia wale wanaomuuzia wanaweza wakamgeuka hata kufikia kumuuwa.

Ukikaa ukawasikiliza matajiri wengi wanavyozungumza then ukaunganisha dots jinsi walivyo unakuta ni vitu viwili tofauti.so nikusema kwamba wakati mwengine kutajirika lazima kutumia njia zisizo sahihi.nieleweke vizuri hapa,sisemi kwamba biashara halali hazitajirishi ila uta-hustle sana ili na wewe uweze kusimamisha japo ghorofa moja ktk maisha yako.

Ila ni vizuri kama biashara ikafanyika ktk mkondo ambao ni salama,muhimu unapata ridhiki ya kula na wanao,wanasoma shule nzuri na miradi yako miwili mitatu.itakufaa nini kuwa na lot of billions huku ukiishi kwa wasiwasi wa kukamatwa?

Yangu ni hayo tu wakuu!
 
Mimi najishughulisha na uuzaji wa batiki(natengeneza mwenyewe)..sabuni za aina zote(maji..vipande)mafuta ya nywele na mafuta ya wanawake(lotion) na ni makeup artist
 
safi sana mkuu...je unatumia nini kujitangaza au kuonesha kazi zako
Natumia Social Media, na zaidi kazi zenyewe zinajitangaza mana graphics ni kazi ya kuonekana, wateja wangu pia wananitangaza, kwa Bitclub Advantage natumia Social Groups kuhamasisha watu, thanks
 
mkuu hii bitclub ikoje weka nyama tafadhali

Bitclub Advantage ni kampuni ya online Investment, unawekeza pesa yako unapata returns (faida) wao wanafanya biashara ya cryptocurrency yaani kununua na kuuza sarafu za kidigitali, hii inahitani moyo wa chuma lakini maana wabongo wengi wanaogopa biashara za mitandao (online) na hata wengine kabla ya kuchuguza watakwambia tu utapeli huo, wabongo hatujazoea ila hii inalipa kweli, niko kazini so napata shida kuandika sana lakini ukitaka zaidi you can PM me mkuu
 
watanzania ni wamoja tuilinde amani yetu.mimi naapa ya kuwa sitashawishika kuivunja amani ya nchi yangu tarehe 26.04.2018.nitailinda na kuitetea amani ya nchi yangu kama katiba ya nchi yangu iniongozavyo.
#kataa_maandamano
#linda_amani_ya_mama_Tanzania
Na.komredi Mgema
[HASHTAG]#mwanamapinduzi[/HASHTAG]
Uboya huu. Pita kushoto
 
Bitclub Advantage ni kampuni ya online Investment, unawekeza pesa yako unapata returns (faida) wao wanafanya biashara ya cryptocurrency yaani kununua na kuuza sarafu za kidigitali, hii inahitani moyo wa chuma lakini maana wabongo wengi wanaogopa biashara za mitandao (online) na hata wengine kabla ya kuchuguza watakwambia tu utapeli huo, wabongo hatujazoea ila hii inalipa kweli, niko kazini so napata shida kuandika sana lakini ukitaka zaidi you can PM me mkuu
mkuu asante nitakutafta tueleweshane
 
Mimi najishughulisha na uuzaji wa batiki(natengeneza mwenyewe)..sabuni za aina zote(maji..vipande)mafuta ya nywele na mafuta ya wanawake(lotion) na ni makeup artist
Ooh! [emoji122]
 
Back
Top Bottom