Uzi maalum wa kutupia picha yoyote ya Handsome boy

Uzi maalum wa kutupia picha yoyote ya Handsome boy

Kids_Boys_i.jpg
 
Bora hata ww kiswahili una kielewa, wengine wanaanzisha vitu vya ajab ajab wanavyovijua wao
Kila mtu anawaza/kusema ya ujazao moyo wake. dunia huru hii kila mtu na mawazo yake chief.
 
Mbona sielewi, elewi hapa [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kiswahili unakijua vizur ww?! AKILI UTAKUWA HAUNA, huu n uzi wa kutupia picha ya handsome boy tu. Ss kutaka kujua mm nataka kufanyia kaz gan, haikuhusu coz hunijui.

[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

Povu povuni hahaha
 
Kiswahili unakijua vizur ww?! AKILI UTAKUWA HAUNA, huu n uzi wa kutupia picha ya handsome boy tu. Ss kutaka kujua mm nataka kufanyia kaz gan, haikuhusu coz hunijui.
Unataka hzo picha upigie puli,hahahah,dunia hii imekwisha,nyi ndo mapunga mnaotakiwa kunyongwa
 
Hivi vitu ukiona mwanaume umeanza ku judge wanaume wenzako if tbey are handsome au la my friend jicho lako lipo hatarini
Unajua me nilidhani ni mwanamke anaomba picha za mahandsome kumbe dume zima na linasema lilikua linaskiliza wanawake wakibishana kuhusu uhandsome.....si ajabu na yeye alikua anachangia mada
 
Unataka hzo picha upigie puli,hahahah,dunia hii imekwisha,nyi ndo mapunga mnaotakiwa kunyongwa
Type ya watu kama ww mpo weng, machon mnaonekana mnaongea ya maana hiv, lkn some of them wanapakuliwa na hili hutaamin. Nan anajua km na ww unafanyiwa hivo
 
Haya maneno 'nn nn' 'ajabu ajabu' jiangalie sana
Hata ww c ajab unafanyiziwa, sema hujulikan. Threads ni nyingine kabisa na mambo ambayo mnaleta hum, funguen uzi mwingine ndio mzungumze hayo
 
Unajua me nilidhani ni mwanamke anaomba picha za mahandsome kumbe dume zima na linasema lilikua linaskiliza wanawake wakibishana kuhusu uhandsome.....si ajabu na yeye alikua anachangia mada
Ss we jamaa ulikuwepo eneo wakat naya ckia hayo?! Kwanza kwa nn una guess? Radicalism ndio shida yako
 
Type ya watu kama ww mpo weng, machon mnaonekana mnaongea ya maana hiv, lkn some of them wanapakuliwa na hili hutaamin. Nan anajua km na ww unafanyiwa hivo
Na bwabwa mnajuaga sana ligi,yaan ukitaka dunia ichimbike,bishana na bwabwa,sasa ndo hili jamaa zinc,hata jins anavoandika yan,kama dem
 
Wakuu JF,

Kwanza niwasabahi km mko pouwa pouwa. Nimekutana na warembo wanabishania khs handsome, nimeshangaa kwel, nikajiuliza, u_handsome unaliwa?! Halaf nikajaribu ku soma mawazo yao namna wanavyoongelea aina ya ma handsome walivyo.

Naomba nisipoteze muda sana na blah blah, embu akina naniii tupien ma picha ambayo mnahic au kuona hawa ni ma handsome.
 
Attachments

Back
Top Bottom