Uzi maalum wa kutupia picha yoyote ya Handsome boy

Uzi maalum wa kutupia picha yoyote ya Handsome boy

294ca0a3b4612a9718e7ee35a2e74f32.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Wakuu JF,

Kwanza niwasabahi km mko pouwa pouwa. Nimekutana na warembo wanabishania khs handsome, nimeshangaa kwel, nikajiuliza, u_handsome unaliwa?! Halaf nikajaribu ku soma mawazo yao namna wanavyoongelea aina ya ma handsome walivyo.

Naomba nisipoteze muda sana na blah blah, embu akina naniii tupien ma picha ambayo mnahic au kuona hawa ni ma handsome.
Huu uzi wa wale watu UBWABWA.
 
Mwanaume mashine sura hata kawape saloon waonyeshe staili za kukata nywele
 
Mleta uzi yeye anaweka picha za watoto halafu anataka watu waweke za wanaume!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani Mambosasa hawakushika wote??
 
Back
Top Bottom