DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,276
- 5,943
Wakuu habar ya mda huu... Kimsingi binadamu anakumbwa na matatizo, kubwa zaidi ni kufiwa awe ndugu, jamaa, na wengineo. Kupitia uzi huu waenzi watu wote unaohisi walikuwa wa muhimu kwako mimi naanza na: 1, Adamu Sinkonde my father R.I.P 2, Deis Nankunzwa my mother R.I.P 3, Moses Adam my young bro' R.I.P marfki zang ni George Sigoma, na wengineo R.I.P Nawasilishaa