Huyo kwenye avatar yako ndio wewe mwenyewe? [emoji15]Aisee
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Avatar huyo n......Aisee
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Pole mkuu wa R.I.P woteRIP
Raymond Mrisho--My Grandpa
Yasini--MY Grandpa
Juma Raymond-- Bamkubwa
Salome Alex--Mdogo wangu kwa mchepuko wa baba.
Mama majilio Watoto wa Shirika la mtoto yesu wanakumiss..
Mullar..my Friend japo ulikua unanionea..
Ibra86..Jf member wote tutakukumbuka wiki sasa toka uondoke..
.....
My Mother
My Father
My Sibling Mungu awape maisha marefu NAWAPENDA SANA.
-Mond-
Kweli kabisa mkuuMama Yangu
Babu Yangu......
Bibi yangu mzaa mama
Bibi yangu mzaa baba
Rafiki yangu/dada yangu
Rafiki yangu/dada yangu
Mdogo wangu/rafiki yangu
duu ni wengi..ila haha ni watu waliogusa maisha yangu kwa aina ya kipekee sana...all is well najua kifo ni process ya maisha, tuna ticket mbili hapa duniani go and return...basi wote njia yetu moja
Wa R.I.P wote mkuuRIP
Raymond Mrisho--My Grandpa
Yasini--MY Grandpa
Juma Raymond-- Bamkubwa
Salome Alex--Mdogo wangu kwa mchepuko wa baba.
Mama majilio Watoto wa Shirika la mtoto yesu wanakumiss..
Mullar..my Friend japo ulikua unanionea..
Ibra86..Jf member wote tutakukumbuka wiki sasa toka uondoke..
.....
My Mother
My Father
My Sibling Mungu awape maisha marefu NAWAPENDA SANA.
-Mond-
Mwanaume ni mwanaume tu AlwaysAvatar huyo n......
Tupo msibani ujue acha zako..Huyo kwenye avatar yako ndio wewe mwenyewe? [emoji15]
Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app