Uzi maalum wa kuwakumbuka Walimu waliotufundisha kuanzia chekechea hadi Chuo Kikuu

Uzi maalum wa kuwakumbuka Walimu waliotufundisha kuanzia chekechea hadi Chuo Kikuu

Leo ni siku ya Waalimu duniani. Napenda kuchukua nafasi hii kumtakia kila laheri Mwalimu wa Ihefu FC, Mwalimu Zuberi Katwila napenda pia kumtakia kila laheri Mwalimu ndugu yangu sana Dizo Moja akiwa pale Jozani Zanzibar. Vilevile nependa kumtakia kila laheri mchezaji wa zamani wa kukodiwa wa "Timu Ismail" na Mwalimu wa sasa wa Bangayeye FC ya pale Pawaga, Iringa shemeji yake mtu Vicent Ngailo.
Ujumbe wangu kwao ni mfupi tu wasikiapo Chegge naimba wimbo huu wamwambie Mwanayumba kuwa bado nampenda sijui yuko kwao Mabibo ama yuko kwenye pori tengefu huko Ubaruku lakini mwambieni kuwa bado nampenda!🤣🤣
 
Prof gesasi principal wa kitivo cha afya UDOM, Chas, mwalimu wangu wa Anatomy na Pathology.
 
Nimefundishwa na walimu wengi. Ila kipekee nimkumbuke Marehemu Mwl Agnes. Mwalimu mkuu Matunya primary School 1992. Ulikuwa na Roho ya dhahabu. Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele.
 
Mwalimu Mkami na Mwalimu Liute wa Buza primary school Nawakumbuka sana,hakika najivunia sana...
 
Primary;
-mwl.maliga,tossi,matanila,na wengine

Sekondari(o-level);
-mwl.magehema denis,mpendaroho,na walimu wote wa tegeta sekondari

Sekondari(a-level)
-mwl.komba,yona,fadhili,mwashilindi,mwakilama,mwakajemba,kapinga na walimu wote lufilyo sekondari

Chuo;
Walimu wote chuo cha ualimu dakawa
 
Mrs. Mbaga, Olympio 1990-96.
Nilikuwa nampigia nyeto toka nilipojua utamu wa puchu.
Dada lilikuwa zuri lile.
 
Mwalimu wangu Philipo wa kipaimara pale Magomeni St Andrews Anglican Church. Sijui Yuko wapi yule mwamba. Enzi za Padre Mtokambali askofu akiwa Sambano.
 
Mwalimu Chigela Mwenge primary school Tabora
Mwalimu Mbaruku, mwalimu Kamagi, Mwalimu Mazula, Mwalimu Babu, Mgulani primary school, hapo jirani na Duce Temeke Dar es salaam
 
Back
Top Bottom