mwenye picha ya harmo rapa akicheka anisaidie kuitupia kwa niaba yangu
Mimi nakutafuta lakini unanipotezea, wewe bwana mdogo vipi tena ???
Malcom ngoja nije tuyamalize huko [emoji4]Mimi nakutafuta lakini unanipotezea, wewe bwana mdogo vipi tena ???
Kiukweli Rayvan tumefana kila kitu kasoro unene,yeye anaimba bongo, umri na kabila vilivyobaki tunafananaWengi tunatumia JF huku tukijaribu kuvuta mfanano wa wadau mbalimbali humu unaweza kuwaza yuko hivi kumbe yuko vile.
Kupitia huu uzi tunaweza kidogo kujenga picha akili unafanana na nani huwenda akawa ni maarufu au asiwe maarufu ila kama uliwahi kufananishwa na mtu yeyote ambaye jamii kwa kiasi kikubwa inamjua basi weka picha yake hapa.
Mnamo mwaka 2008 rafiki yangu alikuwa na picha ya John Mikel Obi kwenye Ofisi yake siku moja akaniambia ila unafanana na huyu jamaa kama ndugu yako. Haikupita muda siku moja Mama alinikuta nikiwa pale Ofisini nae kasema unafanana na huyo Jamaa kwenye picha (John Mikel).
Vipi kuhusu wewe. View attachment 835892
Wengi tunatumia JF huku tukijaribu kuvuta mfanano wa wadau mbalimbali humu unaweza kuwaza yuko hivi kumbe yuko vile.
Kupitia huu uzi tunaweza kidogo kujenga picha akili unafanana na nani huwenda akawa ni maarufu au asiwe maarufu ila kama uliwahi kufananishwa na mtu yeyote ambaye jamii kwa kiasi kikubwa inamjua basi weka picha yake hapa.
Mnamo mwaka 2008 rafiki yangu alikuwa na picha ya John Mikel Obi kwenye Ofisi yake siku moja akaniambia ila unafanana na huyu jamaa kama ndugu yako. Haikupita muda siku moja Mama alinikuta nikiwa pale Ofisini nae kasema unafanana na huyo Jamaa kwenye picha (John Mikel).
Vipi kuhusu wewe. View attachment 835892
Dah mzee utang'oa wanawake humu.Kiukweli Rayvan tumefana kila kitu kasoro unene,yeye anaimba bongo, umri na kabila vilivyobaki tunafanana
Sijawahi kuambiwa kuhusu uhandasome dark angelBasi wewe ni hendisamu
Hapana nawaogopa wanawake wa humu JF ila ndio niko ivoDah mzee utang'oa wanawake humu.
Asante kukufahamu nitakuwa navuta picha sasa wewe ni mtu wa aina gani.Hapana nawaogopa wanawake wa humu JF ila ndio niko ivo
Dah Una nyota ya Uteuzi.Mimi nimefanana na huyo mheshimiwa dcView attachment 836485
Anhaa unafanana na biblia ?Kwenye bible kuna sehemu inasema nilimuumba mwanadamu kwa mfano wangu....teh! teh! mlishajua nafanana na nani
Du! Hii porus mbona imawashika jinsia ke hivi?Olympia wa porusView attachment 836035
Hahahaaamwenye picha ya harmo rapa akicheka anisaidie kuitupia kwa niaba yangu