Uzi Maalum wa kuweka Picha ya mtu mnaefanana:

mwenye picha ya harmo rapa akicheka anisaidie kuitupia kwa niaba yangu
Screenshot_20180814-220848~2.jpg
 
Wengi tunatumia JF huku tukijaribu kuvuta mfanano wa wadau mbalimbali humu unaweza kuwaza yuko hivi kumbe yuko vile.

Kupitia huu uzi tunaweza kidogo kujenga picha akili unafanana na nani huwenda akawa ni maarufu au asiwe maarufu ila kama uliwahi kufananishwa na mtu yeyote ambaye jamii kwa kiasi kikubwa inamjua basi weka picha yake hapa.

Mnamo mwaka 2008 rafiki yangu alikuwa na picha ya John Mikel Obi kwenye Ofisi yake siku moja akaniambia ila unafanana na huyu jamaa kama ndugu yako. Haikupita muda siku moja Mama alinikuta nikiwa pale Ofisini nae kasema unafanana na huyo Jamaa kwenye picha (John Mikel).

Vipi kuhusu wewe. View attachment 835892
Kiukweli Rayvan tumefana kila kitu kasoro unene,yeye anaimba bongo, umri na kabila vilivyobaki tunafanana
 
Basi wewe ni hendisamu

Back
Top Bottom