Sawa.Ila ndiyo nisiwaombee hata maji ya kunywa.Minze gokunywa kweli?Unataka utopolo wafe kweli?Vichekesho tutapata wapi?Ushabiki weka pemben mkuu
Ok.Basi nawaombea dua la kuku mkuu!Waombee dua washinde
Minze ni maji.Minze umemansha nin mkuu?
Dua la mwewe?Watanyakuliwa.Waombee dua la mwewe mkuu
Plopesa Nabi ataelewa.Kwa kifaransa au ?
Na wazikwe baharini ASAP.Hakuna umoja na watu wanafiki. Mmefika maji ya shingo mnataka umoja. Yanga afe tu kisha wasafirishe mwili. Siku nyingine usituchanganye Simba na vitu vingine
Hapo sawa.Dua yako imefika hadi mbingu ya saba.Sisi mashabiki wa yanga tunaiombea timu yetu irudi salama na alhilal wapate ushindi.
Mkuu uwe na huruma.Waombee Yanga hata msamaha tu.Kuombea ni kuombea.Kila mtu na msalaba wake