Uzi maalum wa kuziombea timu za Tanzania Simba na Yanga, zote zifuzu hatua ya makundi CAF

Mleta uzi acha kuichanganya SIMBA SC na vitu vya ajabu ajabu. Kila mtu abebe msalaba Wake. Azam na Yanga wafungwe na waondolewe kabisa waende shirikisho kelele zipungue Mjini. Kwa kifupi Ee Mungu baba hao Utopolo huko SUDAN wapigwe magoli mchomoko kama ngoma
kweli mkuu maana tarehe 23 yanga anampasua mtu, furaha ya nyau imebaki kuona yanga haingii makundi.
 
Are you sure ?? Huoni kuwa Yanga tayari ishakufa ??
 
Hatutaki mtuombee,Sikh zote huwa mnakuwa wapi?Kipindi hadi Hersi anavaa jezi za Kaiser Chief mlikuwa wapi kuiombea simba sc ishinde?Mwaka Jana Maneno ya Manara akiwa kama afisa habari yanga unakumbuka manenoyake kuelekea game ya Orlando!
Kifupi pambaneni mjiombee wenyewe,Sisi simba sc tunajiombea wenyewe tumeshazoea!
 
Kuwa mzalendo wa nchi yako mkuu
 
Sisi kama Yanga hatutaki kuombewa na wachawi wanaologa mchana kweupe katikati ya uwanja. Tukichangamana nao Mungu anaweza asisikie maombi yetu

Mungu ibariki Young African ipate matokeo mazuri yatakayoiwezesha kwenda hatua ya makundi CAF CL, Wajalie wachezaji na benchi la ufundi utimamu wa mwili na akili na viongozi wote. AMEN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji116][emoji102]
images.jpg
 
Yaan unajimwambafai wakati unapumlia mashne ?? Kwa akili hiz mtazid kuiaibisha Tanzania
 
Dua ya Simba imepokelewa,ngoja sasa tuone wale wenye laana ya Mwenge kwenye nembo.
 
Back
Top Bottom