44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
- Thread starter
- #81
Na nyiny mnacheza leo ?Hivi mbona sisi wa Azam na Kipanga mnatupitipa kama hamtuoni vile. Sawa dua la kuku
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyiny mnacheza leo ?Hivi mbona sisi wa Azam na Kipanga mnatupitipa kama hamtuoni vile. Sawa dua la kuku
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Ikiwa hivyo Simba anasonga mbele kwakuwa alishinda away goal 3.Sasa Simba ndio anafungishwa virago. 2-0
Hapatakuwa na penalty,Simba atasonga mbele kwakuwa alishinda away goal nyingi.Angalia matokeo ya Al Ahli vs Al Merriekh.Ilikuwa agregate 3-3, Merriekh wamesonga mbele sababu ya away goal kuwa nyingi.Ikiwa hivyo ni penati.Au umeshiba madoo mkuu?
kweli mkuu maana tarehe 23 yanga anampasua mtu, furaha ya nyau imebaki kuona yanga haingii makundi.Mleta uzi acha kuichanganya SIMBA SC na vitu vya ajabu ajabu. Kila mtu abebe msalaba Wake. Azam na Yanga wafungwe na waondolewe kabisa waende shirikisho kelele zipungue Mjini. Kwa kifupi Ee Mungu baba hao Utopolo huko SUDAN wapigwe magoli mchomoko kama ngoma
Kuwa mzalendo wa nchi yako mkuuHatutaki mtuombee,Sikh zote huwa mnakuwa wapi?Kipindi hadi Hersi anavaa jezi za Kaiser Chief mlikuwa wapi kuiombea simba sc ishinde?Mwaka Jana Maneno ya Manara akiwa kama afisa habari yanga unakumbuka manenoyake kuelekea game ya Orlando!
Kifupi pambaneni mjiombee wenyewe,Sisi simba sc tunajiombea wenyewe tumeshazoea!
[emoji116][emoji102]Hatutaki mtuombee,Sikh zote huwa mnakuwa wapi?Kipindi hadi Hersi anavaa jezi za Kaiser Chief mlikuwa wapi kuiombea simba sc ishinde?Mwaka Jana Maneno ya Manara akiwa kama afisa habari yanga unakumbuka manenoyake kuelekea game ya Orlando!
Kifupi pambaneni mjiombee wenyewe,Sisi simba sc tunajiombea wenyewe tumeshazoea!
Yaan unajimwambafai wakati unapumlia mashne ?? Kwa akili hiz mtazid kuiaibisha TanzaniaSisi kama Yanga hatutaki kuombewa na wachawi wanaologa mchana kweupe katikati ya uwanja. Tukichangamana nao Mungu anaweza asisikie maombi yetu
Mungu ibariki Young African ipate matokeo mazuri yatakayoiwezesha kwenda hatua ya makundi CAF CL, Wajalie wachezaji na benchi la ufundi utimamu wa mwili na akili na viongozi wote. AMEN
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya mech msirud Tanzania, na huko msijitambulishe kuwa mmetoka Tanzania, maana aibu tumechoka[emoji116][emoji102]View attachment 2388982
Unafki kwetu mwiko. Tunajua deep down wanaomba dua mbovuKwanini mkuu ?
Unataka kuugeuza uzi wa maombi kuwa wa matusi. Mkiambiwa ukweli mnakua wakaliYaan unajimwambafai wakati unapumlia mashne ?? Kwa akili hiz mtazid kuiaibisha Tanzania
Wew ndo nakushangaa,yaan badala ya kutoa maombi umeanza Mambo ya Ushabiki !!!Unataka kuugeuza uzi wa maombi kuwa wa matusi. Mkiambiwa ukweli mnakua wakali
Sent using Jamii Forums mobile app