Uzi maalum wa kuziombea timu za Tanzania Simba na Yanga, zote zifuzu hatua ya makundi CAF

Uzi maalum wa kuziombea timu za Tanzania Simba na Yanga, zote zifuzu hatua ya makundi CAF

Hizo zote zipigwe zitoke, timu ya kuiombea ni serengeti girls wale ndio wanawakilisha nchi huo mchanganyiko wa wacongo, warundi uombeeni nyie
 
Ushirikiano gani mnaoutaka enyi mazuzu ilihali mlikuwa mkiwapokea wapinzani wetu pale airport na kuwaambia kuwa tunawapulizia madawa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Mshakwama sasa mnataka tuwaombee na tuwe na ushirikiano nanyi...hilo haliwezekani abadan pambaneni na hali zenu
 
Uzalendo alikufa nao mwalimu nyerere kila la kher al hilal
FB_IMG_16658172497990192.jpg
 
Back
Top Bottom